Taja sababu tatu za ngano kutambwa usiku.

      

Taja sababu tatu za ngano kutambwa usiku.

  

Answers


KELVIN
a)Ndio wakati watu walikuwa wamejumuika nyumbani baada ya kazi.
b)Utambaji ulikuwa njia ya kupitisha wakati chakula kikingojewa.
c)Wakati huu ulihakikisha mwanajamii hapotezi wakati wa kazi.

kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 09:58


Next: Tambua sifa zozote tano za hadithi kama utanzu wa fasihi simulizi.
Previous: Eleza majukumu ya hadithi katika jamii.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions