Eleza majukumu ya hadithi katika jamii.

      

Eleza majukumu ya hadithi katika jamii.

  

Answers


KELVIN
a)Kufunza maadili yaliyo nguzo kuu kwa wanajamii.
b)Kukuza ujasiri wa kuzungumza hadharani.
c)Kuburudisha baada ya kazi ya kutwa.
d)Kukuza uwezo wa watoto wa kukumbuka ili kutamba baadaye.
e)Kueleza asili ya mambo k.m visaviini, visasili na ngano za usuli.
f)Kutahadharisha wanajamii dhidi ya kufanya mambo yasitofaa.
g)Kuunganisha watu katika jamii wanapojumuika pamoja kusikiliza utambaji.
h)Ngano za mtanziko hukuza uwezo wa kutathmini na kutoa uamuzi ufaao.
i)Kukuza lugha hasa kwa hadhira ya watoto.

kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 09:59


Next: Taja sababu tatu za ngano kutambwa usiku.
Previous: Mtambaji bora anafaa kuwa na sifa zipi?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions