Taja mifano minne ya mianzo katika hadithi.

      

Taja mifano minne ya mianzo katika hadithi.

  

Answers


KELVIN
i)Paukwa, Pakawa. Sahani, Ya mchele. Giza, La mwizi. Na kiboko je? Cha mtoto mkorofi…
iiHapo zamani za kale/za kongamawe…
iii)Ilitokea…
iv)Hadithi! Hadithi! Hadithi njoo…
v)Kaondokea chenjangaa, kajenga nyumba kakaa, mwanangu mwanasiti, kijino kama chikichi, cha kujengea kikuta, na vilango vya kupita…
vi)Hapo jadi na jadudi…

kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 10:02


Next: Mtambaji bora anafaa kuwa na sifa zipi?
Previous: Nini umuhimu wa mianzo katika hadithi?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions