Nini umuhimu wa mianzo katika hadithi?

      

Nini umuhimu wa mianzo katika hadithi?

  

Answers


KELVIN
i)Kuvuta makini ya hadhira.
ii)Kumtambulisha mtambaji kwa hadhira.
iii)Kuashiria mwanzo wa hadithi.
iv)Kutoa hadhira kutoka ulimwengu halisi hadi ule wa hadithi

kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 10:04


Next: Taja mifano minne ya mianzo katika hadithi.
Previous: Toa mifano minne ya fomyula maalum za kumalizia hadithi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions