Toa mifano minne ya fomyula maalum za kumalizia hadithi.

      

Toa mifano minne ya fomyula maalum za kumalizia hadithi.

  

Answers


KELVIN
i)Hadithi yangu inaishia hapo.
ii)Tangu siku hiyo…
iii)Wakaishi raha mustarehe.
iv)Maadili.

kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 10:05


Next: Nini umuhimu wa mianzo katika hadithi?
Previous: Outline four reasons as to why a cheque is returned to the payee while indicated ‘’refer back to the drawer’’

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions