Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Taja sababu nne za kutumia kiishio maalum katika utambaji wa hadithi.

      

Taja sababu nne za kutumia kiishio maalum katika utambaji wa hadithi.

  

Answers


KELVIN
i)Kuashiria mwisho wa hadithi.
ii)Kutoa hadhira katika ulimwengu wa hadithi hadi ule halisi.
iii)Kumpisha/kumpa fursa mtambaji anayefuata.
iv)Kupisha shughuli inayofuata.
v)Kutoa funzo la hadithi kwa muhtasari.
vi)Kupa hadhira nafasi ya kupumzika baada ya kuwa makini kwa muda.

kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 10:07


Next: Outline four reasons as to why a cheque is returned to the payee while indicated ‘’refer back to the drawer’’
Previous: Eleza umuhimu wa nyimbo katika ngano

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions