Eleza umuhimu wa nyimbo katika ngano

      

Eleza umuhimu wa nyimbo katika ngano

  

Answers


KELVIN
i)Kushirikisha hadhira.
ii)Kusisimua hadhira na kuondoa ukinaifu
iii)Kuteka makini yao.
iv)Kuwasilisha mafunzo/maadili.
v)Kutenganisha matukio katika hadithi.
vi)Kuburudisha hadhira.

kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 10:08


Next: Taja sababu nne za kutumia kiishio maalum katika utambaji wa hadithi.
Previous: Tanakali za sauti zina umuhimu upi katika ngano.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions