Tanakali za sauti zina umuhimu upi katika ngano.

      

Tanakali za sauti zina umuhimu upi katika ngano.

  

Answers


KELVIN
i)Kuongeza utamu.
ii)Kusaidia msomaji kupata picha kamili.
iii)Kusaidia kupata hisia halisi.

kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 10:09


Next: Eleza umuhimu wa nyimbo katika ngano
Previous: Eleza nini maana ya hurafa kisha taja sifa nne za hurafa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions