Eleza nini maana ya hurafa kisha taja sifa nne za hurafa

      

Eleza nini maana ya hurafa kisha taja sifa nne za hurafa

  

Answers


KELVIN
Hadithi zenye wahusika wanyama na ndege ambapo wanyama wadogo hutumia ujanja wa hali ya juu ili kujinasua na hali ngumu au mitego wanayotegewa
Sifa
a)Wahusika ni wanyama au na au ndege.
b)Wanyama na ndege hupewa sifa za binadamu
c)Ni kazi ya ubunifu.
d)Hutoa mafunzo kwa njia ya kuchekesha na isiyoumiza.
e)Huwa na ucheshi mwingi.
f)Hutumia mbinu ya uhuishi.

kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 10:11


Next: Tanakali za sauti zina umuhimu upi katika ngano.
Previous: Hurafa zina umuhimu gani katika jamii.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions