Hurafa zina umuhimu gani katika jamii.

      

Hurafa zina umuhimu gani katika jamii.

  

Answers


KELVIN
a)Kutahadharisha watu dhidi ya kuwa wa danganyifu/kudanganyika kwa urahisi.
b)Kuonyesha jinsi tabia ya udanganyifu inavyoweza kujitokeza na kuathiri watu.
c)Hurafa za kijanja hufunza jinsi ya kupampana na hali ngumu.

kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 10:12


Next: Eleza nini maana ya hurafa kisha taja sifa nne za hurafa
Previous: Eleza maana ya ngano za kiayari.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions