Eleza maana ya ngano za kiayari.

      

Eleza maana ya ngano za kiayari.

  

Answers


KELVIN
Hadithi zinazomsawiri mhusika anayetumia ulaghai kupata matilaba yake kutoka kwa wengine.
kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 10:13


Next: Hurafa zina umuhimu gani katika jamii.
Previous: Taja sifa nne za ngano za kiayari.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions