Taja sifa nne za ngano za kiayari.

      

Taja sifa nne za ngano za kiayari.

  

Answers


kelvin
a)Wahusika wakuu ni binadamu.
b)Huwa na ubunifu mkubwa.
c)Hustaajabisha na kuchekesha.
d)Ujanja na uongo hujitokeza.
e)Ushindi hujitokeza.
f)Ni za kubuni.

kevowmuchiri answered the question on October 21, 2017 at 10:15


Next: Eleza maana ya ngano za kiayari.
Previous: Hekaya zina umuhimu upi katika jamii?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions