Hekaya zina umuhimu upi katika jamii?

      

Hekaya zina umuhimu upi katika jamii?

  

Answers


kelvin
a)Hutahadharisha watu dhidi ya kuhadaika kwa wepesi.
b)Huonya dhidi ya matokeo yanayoweza kuwapata wanaojinyakulia mali kwa udanganyifu.
c)Kuonya dhidi ya usaliti.
d)Kukashifu viongozi dhalimu na matendo maovu.
e)Kukejeli wanaotumia nguvu badala ya akili/hekima

kevowmuchiri answered the question on October 21, 2017 at 10:17


Next: Taja sifa nne za ngano za kiayari.
Previous: Tambua sifa zozote tano bainifu za visasili.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions