Tambua sifa zozote tano bainifu za visasili.

      

Tambua sifa zozote tano bainifu za visasili.

  

Answers


kelvin
a)Husimulia mambo ya kiimani na kidini.
b)Huwa na misingi ya kihistoria.
c)Hueleza asili ya matukio katika jamii.
d)Wahusika ni wanyama na binadamu.
e)Huwa na maadili.
f)Hurithishwa kizazi hadi kingine

kevowmuchiri answered the question on October 21, 2017 at 10:19


Next: Hekaya zina umuhimu upi katika jamii?
Previous: Utambaji wa visasili una umuhimu gani katika jamii.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions