Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Utambaji wa visasili una umuhimu gani katika jamii.

      

Utambaji wa visasili una umuhimu gani katika jamii.

  

Answers


kelvin
a)Kueleza asili ya mambo kama vile kifo, utamaduni n.k.
b)Kueleza utaratibu wa kutekeleza desturi k.v. mahari.
c)Kuhalalisha baadhi ya mila na desturi za jamii k.v. ulipaji mahari, uabudu miti, n.k.
d)Kukitisha mizizi imani fulani ya watu.
e)Kupunguza athari za majanga kama vile kuhalalisha kifo.

kevowmuchiri answered the question on October 21, 2017 at 10:22


Next: Tambua sifa zozote tano bainifu za visasili.
Previous: Explain five benefits enjoyed by a business that operates with a business plan

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions