Taja aina tofauti za malumbano ya utani.

      

Taja aina tofauti za malumbano ya utani.

  

Answers


KELVIN
i.Utani wa mawifi na mashemeji
ii.Utani wa marafiki
iii.Utani wa vijana
iv.Utani wa watoto
v.Utani wa marika/ watu wa hirimu moja


kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 13:55


Next: Explain Christian teachings on male-female relationships
Previous: Eleza aina tofauti za hotuba

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions