Eleza aina tofauti za hotuba

      

Eleza aina tofauti za hotuba

  

Answers


KELVIN
a)Risala
Hotuba inayowasilishwa mbele ya watu kueleza jambo fulani k.m. ya wafanyakazi kwa waajiri wao.
b)Mhadhara
Hotuba inayotolewa kwa hadhira fulani kufafanua somo au mada fulani.
c)Kumbukizi
Hotuba zinazohusu tukio fulani la kihistoria kuhusu mtu au kitu.
d)Mahubiri
Hotuba zinazohusu masuala ya kidini.
e)Taabili
Hotuba kuhusu aliyeaga dunia zinazohusu sifa zake nzuri.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 13:57


Next: Taja aina tofauti za malumbano ya utani.
Previous: Eleza umuhimu wa hotuba katika jamii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions