Eleza umuhimu wa hotuba katika jamii

      

Eleza umuhimu wa hotuba katika jamii

  

Answers


KELVIN
a)Kuelimisha kwa kupa maarifa ya kukabiliana na maisha k.v. jandoni na arusini.
b)Kuadilisha au kutoa nasaha hadharani.
c)Huimarisha ukakamavu wa kuzungumza kadiri watu wanavyotoa hotuba hadharani.
d)Kukuza ufasaha na umilisi wa lugha.
e)Kupalilia kipawa cha uongozi.
f)Kuelimisha kwa kupatia watu maarifa ya kukabiliana na changamoto
kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 13:58


Next: Eleza aina tofauti za hotuba
Previous: Eleza sifa tano za mazungumzo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions