Eleza sifa tano za mazungumzo

      

Eleza sifa tano za mazungumzo

  

Answers


KELVIN
a.Huwa maongezi yenye usanii mkubwa.
b.Hutolewa mbele ya hadhira.
c.Hutolewa mbele ya hadhira.
d.Hutolewa kwa njia isiyokera.
e.Huambatana na sherehe fulani k.m. taabili katika matanga.
f.Hutegemea sauti na vitendo.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:00


Next: Eleza umuhimu wa hotuba katika jamii
Previous: Tambua vigezo vya uchanganuzi wa tungo za ushairi simulizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions