Tambua vigezo vya uchanganuzi wa tungo za ushairi simulizi

      

Tambua vigezo vya uchanganuzi wa tungo za ushairi simulizi

  

Answers


KELVIN
a)Kuainisha utungo kimaudhui/aina
b)Kuthibitisha ni aina fulani ya utungo wa kishairi/sifa.
c)Kutaja sifa zinazojitokeza za ushairi simulizi/utungo fulani wa ushairi simulizi.
d)Muktadha ambamo unaweza kutolewa.
e)Kuandika mbinu za kifasihi zilizotumiwa katika utungo huo.
f)Kufafanua sifa za jamii zinazojitokeza katika utungo.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:01


Next: Eleza sifa tano za mazungumzo
Previous: Taja sifa nne za rara nafsi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions