Taja sifa nne za rara nafsi.

      

Taja sifa nne za rara nafsi.

  

Answers


KELVIN
i.Hugusia maswala yanayoathiri hisia za mtu binafsi kama vile mapenzi, usaliti, talaka, kifo.
ii.Huwasilishwa kwa njia ya uimbaji unaoandamana na ala ya mziki.
iii.Mzungumzaji huzungumza moja kwa moja na hadhira au aliyeandikiwa rara hii-mkewe, mpenziwe, mwanawe, Mungu, miungu.
iv.Hutolewa katika miktadha k.v. mazishi kusifu aliyekufa, harusi na Bi. Arusi kama ameshinikizwa kuolewa.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:03


Next: Tambua vigezo vya uchanganuzi wa tungo za ushairi simulizi
Previous: Fafanua maana ya rara nafsi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions