Eleza sifa za rara

      

Eleza sifa za rara

  

Answers


KELVIN

a)Huhusu maswala ibuka na ya kawaidab)Hadithi huwasilishwa katika beti.
c)Huimbwa.
d)Huandamana na ala za mziki.
e)Hutolewa kwa toni ya kitanzia.
f)Huwa na visa vya kusisimua.
g)Huwa na ucheshi wenye

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:06


Next: Fafanua maana ya rara nafsi.
Previous: Eleza aina tofauti za maghani simulizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions