Eleza aina tofauti za maghani simulizi

      

Eleza aina tofauti za maghani simulizi

  

Answers


KELVIN
i)Sifo
Tungo za kusifu watu kutokana na matendo yao ya kishujaa na ambao sifa zake hukaribiana na za tenzi hasa ikiwa ni shujaa anasifiwa.
ii)Tendi/tenzi
Ushairi mrefu unaoelezea maisha ya mashujaa tangu kuzaliwa hadi kufa kwao.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:07


Next: Eleza sifa za rara
Previous: Maghani simulizi yanadhamiria nini katika jamii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions