Maghani simulizi yanadhamiria nini katika jamii

      

Maghani simulizi yanadhamiria nini katika jamii

  

Answers


KELVIN
a) Kuburudisha wanajamii.
b)Kusifu mashujaa wa jamii.
c)Kukuza uzalendo kwa kuhimiza wengine kuwaiga mashujaa.
d)Kukuza ubunifu kwa kutunga papo hapo.
e)Kuimarisha uwezo wa kukumbuka kwa kutungwa na kuhifadhiwa akilini.
f)Kuburudisha waliohudhuria sherehe ampapo yanatolewa.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:08


Next: Eleza aina tofauti za maghani simulizi
Previous: Huku ukitolea maana, eleza makundi mawili makuu ambayo hadithi zimegawanywa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions