Huku ukitolea maana, eleza makundi mawili makuu ambayo hadithi zimegawanywa

      

Huku ukitolea maana, eleza makundi mawili makuu ambayo hadithi zimegawanywa

  

Answers


KELVIN
a)Hadithi za Kubuni
Ni hadithi ambazo hazisimulii matukio ya kweli bali ya kutungwa
b)Hadithi za Kisalua/Kihistoria
Ni hadithi zinazosimulia matukio yaliyowahi kutendwa na wahusika waliowahi kuishi.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:10


Next: Maghani simulizi yanadhamiria nini katika jamii
Previous: Tambulisha tofauti kati ya istiara na mbazi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions