Tambulisha tofauti kati ya istiara na mbazi

      

Tambulisha tofauti kati ya istiara na mbazi

  

Answers


KELVIN
Istiara ni adithi ambayo maana yake huwakilisha maana nyingine iliyofichika k.v. hurafa ambapo wanyama huwakilisha binadamu ilhali mbazi ni hadithi fupi inayotolewa kama mfano kumkanya au kumwelekeza mtu .
kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:11


Next: Huku ukitolea maana, eleza makundi mawili makuu ambayo hadithi zimegawanywa
Previous: Taja mambo tano yanayofaa kuzingatiwa katika uchambuzi wa ngano.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions