Taja mambo tano yanayofaa kuzingatiwa katika uchambuzi wa ngano.

      

Taja mambo tano yanayofaa kuzingatiwa katika uchambuzi wa ngano.

  

Answers


KELVIN
i.Kutaja wahusika
ii.Kufafanua sifa za wahusika wakuu
iii.Maadili/mafunzo yanayojitokeza katika hadithi
iv.Kubainisha sifa za ngano/hurafa/hekaya, n.k. zinazojitokeza katika hadithi.
v.Kueleza umuhimu wa fomyula ya kuanzia/wimbo uliotumiwa katika hadithi.
vi.Kubainisha tamathali za usemi zilizotumiwa katika hadithi fulani
vii.Kuonyesha jinsi ngano inavyoshughulikia maudhui fulani.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:12


Next: Tambulisha tofauti kati ya istiara na mbazi
Previous: Eleza sifa tano za semi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions