Semi zina umuhimu gani kufunzwa katika shule za upili.

      

Semi zina umuhimu gani kufunzwa katika shule za upili.

  

Answers


KELVIN
a)Kuonya k.m methali, ‘Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.’
b)Kukuza uwezo wa kufikiri k.m. vitendawili na chemsha bongo.
c)Kutafsidi lugha au kupunguza ukali wa maneno k.m. nahau ‘jifungua’ badala ya ‘zaa’.
d)Kuburudisha k.m. vitendawili, chemsha bongo na vitanza ndimi.
e)Kuhifadhi siri k.m. nahau, misemo, misimu.
f)Kuelimisha k.m. kutofanya mambo kwa pupa-mla kwa pupa hadiriki kula tamu.
g)Kuongeza utamu katika lugha.
h)Kuboresha matamshi k.m. vitanza ndimi.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:14


Next: Eleza sifa tano za semi.
Previous: Tambua methali mbili zinazodhihirisha sitiari.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions