Tambua methali mbili zinazodhihirisha sitiari.

      

Tambua methali mbili zinazodhihirisha sitiari

  

Answers


KELVIN
a)Mgeni ni kuku mweupe.
b)Ahadi ni deni.
c)Upweke ni uvundo.
d)Mgeni ni kuku mweupe.
e)Ujana ni moshi

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:15


Next: Semi zina umuhimu gani kufunzwa katika shule za upili.
Previous: Taja methali mbili zinazotumia tanakali za sauti

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions