Taja sifa tano za vitendawili

      

Taja sifa tano za vitendawili

  

Answers


KELVIN
ii.Hutumia lugha ya kimafumbo.
iii.Hutolewa mbele ya hadhira.
iv.Hutumia ufananisho wa kijazanda.
v.Kunazo huhusiana na methali k.m. mzee amekufa vyombo vimevunjikavunjika.
vi.Huwa na wakati maalum wa kutolewa yaani jioni.
vii.Huwa na mchezo wa maneno

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:18


Next: Tambau vigezo vinne vinavyotumika kuainishia na kuchambua methali.
Previous: Eleza aina tofauti za vitendawili.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions