Taja vitendawili vine vilivyotumia stihizai.

      

Taja vitendawili vine vilivyotumia stihizai.

  

Answers


KELVIN
i.Akivaa miwani hafanyi kazi vizuri-mlevi.
ii.Mzungu anachungulia dirishani-makamasi.
iii.Uzi mwembamba umefunga dume-usingizi.
iv.Mtani wangu hata akiishi majini hatakati-chura.
v.Kisiki chetu hakikui-mbilikimo.
vi.Nimemuona bi kizee amejitwika machicha-mvi.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:21


Next: Tambua mbinu za lugha ambazo zinatumika katika vitendawili
Previous: Linganisha vitendawili na methali

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions