Linganisha vitendawili na methali

      

Linganisha vitendawili na methali

  

Answers


KELVIN
i.Zote mbili ni tungo fupi.
ii.Zote mbili huwa na maana fiche.
iii.Zote mbili hutumia lugha inayojenga taswira.
iv.Zote mbili hupata maana kulingana na jamii.
v.Zote mbili Huwa na muundo maalum.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:25


Next: Taja vitendawili vine vilivyotumia stihizai.
Previous: Ni sifa zipi zinazotambulisha chemshabongo.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions