Taja asili nne za lakabu.

      

Taja asili nne za lakabu.

  

Answers


KELVIN
• Tabia za mtu/mhusika
• Sifa za kimaumbile
• Matendo ya mhusika
• Nasaba atokayo mtu
• Tabaka la mtu
• Jinsi mtu anavyotamka maneno
kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:28


Next: Eleza maana ya vitanza ndimi huku ukitoa umuhimu wake
Previous: Taja sifa nne za lakabu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions