Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
a) Lakabu si jina la mtu ni jina tu la kupangwa.
b) Lakabu aghalau huwa neno au fugu la maneno lililo na maana iliyofumbwa.
c) Lakabu huoana na sifa za mhusika inaweza kusifu kukejeli au kufanyia tashtiti tabia hasi ya mhusika lakabu baba wa taifa moja kwa moja inaashiria sifa nzuri za mhusika na kumsifu kwa upande mwingine lakabu kama kangumu inaashiria tabia ya uchoyo.
d) Lakabu hupatikana katika tanzu na vipera vingine nya fasihi simulizi kama vile sifo, malumbano ya utani na majigambo (vivugo) ambapo wahusika hujipa majina ya kupanga ya kujitapa.
e) Lakabu huundwa kwa lugha ya picha au taswira na sitiari kwa mfano, lakabu ‘nyayo’ ya Raisi mstaafu inatumia sitiari inamfananisha na nyayo za mtu hivyo kutupa taswira ya kujipata kufuata falsafa ya mtu mwingine.
f) Ingawa lakabu si jina halisi la mtu, huweza kudumu na kufanya jina halisi la mtu kusahaulika kwa mfano Sonko.
kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:29
- Taja asili nne za lakabu.(Solved)
Taja asili nne za lakabu.
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Eleza maana ya vitanza ndimi huku ukitoa umuhimu wake(Solved)
Eleza maana ya vitanza ndimi huku ukitoa umuhimu wake
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Ni sifa zipi zinazotambulisha chemshabongo.(Solved)
Ni sifa zipi zinazotambulisha chemshabongo.
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Linganisha vitendawili na methali(Solved)
Linganisha vitendawili na methali
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Taja vitendawili vine vilivyotumia stihizai.(Solved)
Taja vitendawili vine vilivyotumia stihizai.
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Tambua mbinu za lugha ambazo zinatumika katika vitendawili(Solved)
Tambua mbinu za lugha ambazo zinatumika katika vitendawili
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Eleza aina tofauti za vitendawili.(Solved)
Eleza aina tofauti za vitendawili.
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Taja sifa tano za vitendawili(Solved)
Taja sifa tano za vitendawili
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Tambau vigezo vinne vinavyotumika kuainishia na kuchambua methali.(Solved)
Tambau vigezo vinne vinavyotumika kuainishia na kuchambua methali.
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Taja methali mbili zinazotumia tanakali za sauti(Solved)
Taja methali mbili zinazotumia tanakali za sauti
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Tambua methali mbili zinazodhihirisha sitiari.(Solved)
Tambua methali mbili zinazodhihirisha sitiari
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Semi zina umuhimu gani kufunzwa katika shule za upili.(Solved)
Semi zina umuhimu gani kufunzwa katika shule za upili.
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Eleza sifa tano za semi.(Solved)
Eleza sifa tano za semi.
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Taja mambo tano yanayofaa kuzingatiwa katika uchambuzi wa ngano.(Solved)
Taja mambo tano yanayofaa kuzingatiwa katika uchambuzi wa ngano.
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Tambulisha tofauti kati ya istiara na mbazi(Solved)
Tambulisha tofauti kati ya istiara na mbazi
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Huku ukitolea maana, eleza makundi mawili makuu ambayo hadithi zimegawanywa(Solved)
Huku ukitolea maana, eleza makundi mawili makuu ambayo hadithi zimegawanywa
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Maghani simulizi yanadhamiria nini katika jamii(Solved)
Maghani simulizi yanadhamiria nini katika jamii
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Eleza aina tofauti za maghani simulizi(Solved)
Eleza aina tofauti za maghani simulizi
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Eleza sifa za rara(Solved)
Eleza sifa za rara
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Fafanua maana ya rara nafsi.(Solved)
Fafanua maana ya rara nafsi.
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)