Misemo ina umuhimu upi katika jamii?

      

Misemo ina umuhimu upi katika jamii?

  

Answers


KELVIN
i.Kusisitiza ujumbe.
ii.Kuongeza utamu katika lugha.
iii.Kusisitiza jambo fulani.
iv.Kufunza maadili au kuhimiza.
v.Kuchochea hisia fulani.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:31


Next: Taja sifa nne za lakabu
Previous: Toa mifano minne ya nahau kisha utolee maana

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions