Toa mifano minne ya nahau kisha utolee maana

      

Toa mifano minne ya nahau kisha utolee maana

  

Answers


KELVIN
a)Kuasi ukapera
kuoa
b)Kupiga vijembe
sema kwa mafumbo
c)Ndege mbaya
bahati mbaya
d)Kidudu mtu
mfitini
e)Paka mafuta kwa mgongo wa chupa
Danganya au hadaa mtu
f)Visha kilemba cha ukoka
Kumpa mtu sifa za uongo ili umpumbaze

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:32


Next: Misemo ina umuhimu upi katika jamii?
Previous: Tambua miundo tano inayotumika katika nahau huku ukitolea mifano miwili kwa kila muundo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions