Tambua miundo tano inayotumika katika nahau huku ukitolea mifano miwili kwa kila muundo

      

Tambua miundo tano inayotumika katika nahau huku ukitolea mifano miwili kwa kila muundo

  

Answers


KELVIN
i.T+T
kufa kupona
kufumba na kufumbua
ii.T+N
kupiga domo
kata kamba
iii.T+E
Kujikaza kisabuni
kufa kiofisa
iv N+N
donda dugu
domo kaya
v.N+V
nyota njema
ndege mbaya


kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:33


Next: Toa mifano minne ya nahau kisha utolee maana
Previous: Eleza sifa za nahau

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions