Taja sifa tano za misimu

      

Taja sifa tano za misimu

  

Answers


KELVIN
i.Ni kauli fupi.
ii.Hutumiwa na kundi dogo la watu.
iii.Huzuka katika mazingira na kipindi maalum.
iv.Ni lugha ya kimafumbo.
v.Hutumiwa na kundi dogo la watu katika jamii.
vi.Huzuka na kutoweka baada ya muda.
vii.Kunazo hudumu na kukubaliwa kama lugha sanifu k.v. matatu, bodaboda, chai, chokora, daladala, n.k.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:35


Next: Eleza sifa za nahau
Previous: Taja sifa zozote tano za misimu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions