Taja sifa zozote tano za misimu

      

Taja sifa zozote tano za misimu

  

Answers


KELVIN
a)Kuficha siri ya wanaoitumia.
b)Kupanua lugha kimsamiati ikikubalika.
c)Kurahisisha mawasiliano kwa kuondoa uchovu wa urasmi.
d)Kuonyesha ubingwa wa lugha kwa kuhisi huonyesha umaarufu wa lugha
e)Kutenga wasio wana kikundi.
f)Kutafsidi/kupunguza ukali wa maneno k.m. Amepata bol-mimba.
g)Kupamba lugha na kuifanya ivutie

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:36


Next: Taja sifa tano za misimu
Previous: Eleza maana ya shirikina

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions