Tambua umuhimu wa shirikina katika jamii

      

Tambua umuhimu wa shirikina katika jamii

  

Answers


KELVIN
a)Kukataza maovu.
b)Kuhifadhi utamaduni.
c)Kuchangia umoja wa kitaifa kwa aina moja ya itikadi kupatikana katika jamii nyingi.
d)Kutujulisha kuhusu itikadi za watu

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:38


Next: Eleza maana ya shirikina
Previous: Tanakali za sauti zifuatazo hutokea wapi ama nini kinachosababisha? (a) Pu/kacha (b)Pu, pu, pu (c)Pukupuku! (d)Pwa! (e)Pwata! (f)Tang’!

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions