Tanakali za sauti zifuatazo hutokea wapi ama nini kinachosababisha? (a) Pu/kacha (b)Pu, pu, pu (c)Pukupuku! (d)Pwa! (e)Pwata! (f)Tang’!

      

Tanakali za sauti zifuatazo hutokea wapi ama nini kinachosababisha?
a) Pu/kacha
b)Pu, pu, pu
c)Pukupuku!
d)Pwa!
e)Pwata!
f)Tang’!

  

Answers


KELVIN
i.tawi
ii.mfululizo
iii.mvua
iv.kwa matope
v.kitu kinene
vi.sarafu pagumu

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:40


Next: Tambua umuhimu wa shirikina katika jamii
Previous: Tambua umuhimu wa takriri za maana

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions