Tambua umuhimu wa takriri za maana

      

Tambua umuhimu wa takriri za maana

  

Answers


KELVIN
a)Kutia ladha katika lugha na kuifanya iwe na mnato.
b)Kusisitiza jambo.
c)Kuonyesha ukwasi wa lugha ya mnenaji.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:41


Next: Tanakali za sauti zifuatazo hutokea wapi ama nini kinachosababisha? (a) Pu/kacha (b)Pu, pu, pu (c)Pukupuku! (d)Pwa! (e)Pwata! (f)Tang’!
Previous: Tambau sifa zinazotambulisha ushairi na tanzu zingine za fasihi simulizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions