Tambau sifa zinazotambulisha ushairi na tanzu zingine za fasihi simulizi

      

Tambau sifa zinazotambulisha ushairi na tanzu zingine za fasihi simulizi

  

Answers


KELVIN
i.Hutumia lugha ya kimkato.
ii.Huwasilishwa mbele ya hadhira.
iii.Huwasilishwa na mtu mmoja au kundi la watu.
iv.Huwa na muundo maalum k.v. beti, vipande na vina.
v.Hutegemea sauti iliyo kipengele muhimu.
vi.Huandamana na ishara za mikono, uso n.k.
vii.Una mpangilio maalum wa maneno.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:42


Next: Tambua umuhimu wa takriri za maana
Previous: Outline seven roles of medicine men in Africa traditional societies

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions