Ushairi una dhima gani katika jamii

      

Ushairi una dhima gani katika jamii

  

Answers


KELVIN
i.Kuburudisha watu katika sherehe au shughuli fulani ya kijamii.
ii.Kutakasa hisia au kutoa hisia zinazomsumbua mtu.
iii.Kufunza maadili au tabia zinazokubalika na jamii.
iv.Kufariji watu kutokana na maafa, kifo au kushindwa.
v.Kukuza uzalendo kwa kuhimiza watu kuiga waliotendea jamii mambo makuu k.v. mashujaa.
vi.Kuhifadhi historia ya jamii k.m. maghani simulizi na tenzi.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:43


Next: Outline seven roles of medicine men in Africa traditional societies
Previous: Taja vipera vikuu vya utanzu wa ushairi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions