Taja vipera vikuu vya utanzu wa ushairi

      

Taja vipera vikuu vya utanzu wa ushairi

  

Answers


KELVIN
a.nyimbo
b.maghani
c.mashairi mepesi (utungo unaokaririwa)
d.ngojera (kwa majibizano)
e.tendi au rara (husimuliwa kwa mapigo ya kishairi)

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:44


Next: Ushairi una dhima gani katika jamii
Previous: Nyimbo kwa ujumla zina sifa zipi?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions