Nyimbo kwa ujumla zina sifa zipi?

      

Nyimbo kwa ujumla zina sifa zipi?

  

Answers


KELVIN
a)Huwasilishwa kwa njia ya mdomo.
b)Hutolewa kwa mahadhi ya kupanda na kushuka kwa sauti.
c)Hutumia lugha ya mkato.
d)Hadhira yaweza kuwepo au isiwepo.
e)Huwa na mwimbaji au waimbaji wanaoimba.
f)Waimbaji wanaweza kujivika maleba.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:45


Next: Taja vipera vikuu vya utanzu wa ushairi
Previous: Taja sifa mbaya za nyimbo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions