Taja sifa mbaya za nyimbo

      

Taja sifa mbaya za nyimbo

  

Answers


KELVIN
a)Kutumiwa kueneza hisia za kikabila.
b)Kutia watu kasumba.
c)Hutumiwa kueneza propaganda ili kushawishi watu.
d)Kupotosha kimaadili k.v. kuhimiza zinaa.
e)Mtu akizizoea humlevya.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:46


Next: Nyimbo kwa ujumla zina sifa zipi?
Previous: Tambau sifa za nyimbo za bembea

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions