Tambau sifa za nyimbo za bembea

      

Tambau sifa za nyimbo za bembea

  

Answers


KELVIN
a)Huimbwa na mama au walezi.
b)Aghalabu huwa fupi.
c)Huimbwa kwa sauti ya chini.
d)Huimbwa kwa sauti nyororo.
e)Zina mapigo ya polepolena taratibu.
f)Huwa na mahadhi mazuri.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:47


Next: Taja sifa mbaya za nyimbo
Previous: Nyimbo za chekechea zina umuhimu gani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions