Nyimbo za chekechea zina umuhimu gani

      

Nyimbo za chekechea zina umuhimu gani

  

Answers


KELVIN
a)Kuburudisha watoto.
b)Kuwaelimisha watoto kuhusu jamii.
c)Kukuza umoja na ushirikiano baina ya watoto kwa kuwajumuisha pamoja na kucheza bila kujali kabila, tabaka, n.k.
d)Kukashifu tabia hasi miongoni mwa watoto k.v. uchoyo.
e)Kukuza ubunifu miongoni mwa watoto wanapobuni nyimbo zinazooana na michezo yao

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:49


Next: Tambau sifa za nyimbo za bembea
Previous: Wawe ni nyimbo za zipi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions