Kimai ni nyimbo zinaimbwa wakati wa uvuvi. Nyimbo hizi zina umuhimu gani?

      

Kimai ni nyimbo zinaimbwa wakati wa uvuvi. Nyimbo hizi zina umuhimu gani?

  

Answers


KELVIN
a) Kuburudisha wavuvi na mabaharia.
b)Kuwajasirisha ili kukabili adha za baharini.
c)Kuwatoa upweke.

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:50


Next: Wawe ni nyimbo za zipi
Previous: Kongozi ni nyimbo gani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions